Taboratalents.com

Let the music live inside of you

TUJUE image
TaboraTalents & Connections Ni Jukwaa Lililoanzishwa June 2019 . Ili kuwapa nafasi wasanii wanaotoka Mkoani Tabora waweze kuonekana.Jukwaa Hili Linahusu Sanaa Zote Kama Vile Muziki,Filamu,Ngoma,Nk . Sababu Kubwa Ya Kuanzishwa Jukwaa Hili Ni
Kusaidia Usambazaji Pia Masoko Ya Kazi Za Sanaa.Kwa Miaka Mingi Wasanii Wa Tabora Wamekosa Toviti Au Blogu Inayosapoti
Kazi Zao. Hivyo Hii Ni Fusra Pekee Kwa Wasanii Wa Mkoa Wetu Kujitangaza Na Kufikia Wadau Wengi Zaidi Duniani.
Tunapokea Kazi Za Wasanii Kila Siku, Kama Vile Ratiba Za Matamasha, Nyimbo Mpya Audio au Video . Pia Mashairi. Karibuni

Pokea Ngoma Mpya

Jiunge Kupata Taarifa Mpya Kila Zinapotoka

Lazaro Mawe (Romeo Savage)

CEO | Engeneer

Muanzilishi Wa Tovuti Hii. Amekulia Tabora. Pia Anaijuia Vizuri Sanaa Ya Mkoa Wa Tabora. Anatokea Hitimisho Squad & WeSellGold Entertainment .

Florencia Haley

CFO | Chief Editor

Mhariri Mkuu . Amebobea Kwenye Tasnia Ya Habari .Amekulia Tabora . Anapenda Kuona Sanaa Ya Tabora Inakuwa .Anafanya Kazi Jembe FM .(Mwanza)

George Kubanda (Gkifaa)

Producer / Beat Maker

Mtayarishaji Wa Muziki . Muasisi Wa Hitimisho Squad | Mmiliki Wa Brand Ya Beat By GKifaa | Anafanya Kazi Na Halisi Records/ Matrix Records /WeSellGold Ent

Jonathan Mpanduji (Mr.Swaggz)

Brand Manager

Mtaalamu Wa Masoko . Anapenda Sanaa Pia Amekulia Tabora Ni Mmoja Wa Waasisi Wa Dance Machine Crew .Mmiliki Wa (SBH) Swahili BrotherHood Brand Kwa Sasa Yupo Africa Ya Kusini

  • Tabora, Tanzania
  • P.O Box 2223,Kanyenye,Tabora

This is a generic blog article you can use for adding blog content / subjects on your website. You can edit all of this text and replace it with anything you have to say on your blog.

  •  05/30/2016 12:00 AM

9 STEPS TO STARTING A BUSINESS

     05/30/2016 12:00 AM

This is a generic blog article you can use for adding blog content / subjects on your website. You can edit all of this text and replace it with anything you have to say on your blog.

This is a generic blog article you can use for adding blog content / subjects on your website. You can edit all of this text and replace it with anything you have to say on your blog.

HOW TO MAKE EXTRA MONEY

     05/30/2016 12:00 AM

This is a generic blog article you can use for adding blog content / subjects on your website. You can edit all of this text and replace it with anything you have to say on your blog.

I BUILT MY SITE FOR FREE USING